Ruka hadi kwenye maudhui makuu
MADEE AONEKANA MARA MOJA TU KWENYE VIDEO YA WIMBO WAKE.
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya
Madee Ally,
Afanya wimbo na msanii maarufu wa kike
Nandy
Wimbo unajulikana kwa jina SEMA Umefanywa na producer Daxo Challi wa MJ Record, Baada ya siku kazaa Madee Alipost video ya wimbo wake YouTube Na Video ilipotazamwa Alonekana Dogo janja (JANJARO) Ndie aliecheza kwenye video hiyo mwanzo mwisho, Watu hawakutegemea kama Madee Angeweza kuonekana kabisa kwenye video ile, Lakini kumbe alifanya makusudi na baadae mwishoni mwa wimbo alionekana akiwa kafurahi kweli kweli.
Maoni
Chapisha Maoni