Mungu ni mwema kwa kila jambo damu yangu team yangu@mwikaka jay ft abuu mkali
Mzigo coming soonMABAWA CLASSIC TEAMTEAM TEKENYA TZvitu vitam mwanzo mwisho wadau wangu
Ameandika hayo jana Abuu Mkali katika ukurasa wake wa Facebook. Wadau na mashabiki zake wote kuweni na hamu ya kuusubiri wimbo huo sasa, Muda si mrefu itaachiwa hewani.
Get ready For Mwikaka Jay Ft Abuu Mkali - Usiniache.
#Abuu Mkali
#Mabawa Classic
#Mwilaka Jay
Get ready For Mwikaka Jay Ft Abuu Mkali - Usiniache.

Maoni
Chapisha Maoni