Ruka hadi kwenye maudhui makuu
MASHABIKI WA MECRAS [WAPANCRAS] KAENI CHONJO.
Msamnii Wa Kizazi kipya Kutoka Mji mdogo wa Katoro Ajulikane Kwa jina la Mecras Kutoka katika Kundi La WAPANCRAS Asema Jana Asubuhi Ya kuwa, Kufikia Tarehe 8 October 2017, Ataachia Rasimi Nyimbo mpya. Hivyo Mashabiki wote muwe tayari kuisikiliza Nyimbo Aliyoshirikishwa na Msanii KIJITO. Wimbo unajulikana kwa jina NIONESHE NJIA, Imefanywa katika studio za ALIVE MUSIC chini ya producer Aniwylee na usimamizi wa MIKONO SALAMA.
Maoni
Chapisha Maoni